Kesi ya mauji ya Jamal Khashogg (Mwandishi) yaanza kusikilizwa rasmi bila washtakiwa leo.

Matokeo ya Utafutaji

Kesi ya mauji yaanza kusikilizwa rasmi bila washtakiwa leo.


Jamal Khashogg
Mwandishi


Tarehe alipokufa:2 Oktoba 2018
Mahali alipo fia: Istanbul, Uturuki

Twenty Saudi nationals have gone on trial in absentia in Turkey for the murder of the journalist Jamal Khashoggi in 2018.

Khashoggi, a prominent critic of Crown Prince Mohammed bin Salman, was killed by a team of Saudi agents inside the kingdom's consulate in Istanbul.

The defendants include two former aides to the prince, who denies involvement.

Saudi Arabia, which rejected Turkey's extradition request, convicted eight people over the murder last year.

Five were sentenced to death for directly participating in the killing, while three others were handed prison sentences for covering up the crime.


Mashtaka hayo yanamshutumu Ahmed al-Asiri, mkuu wa zamani wa Idara ya Ujasusi ya Saudi Arabia na Saud al-Qahtani, mshauri wa zamani mwanamfalme Mohammed bin Salman, kwa kuchochea mauaji yaliyopangwa kwa nia mbaya.

Khashoggi aliuawa ndani ya ubalozi mdogo wa Saudia Arabia mjini Istanbul mnamo Oktoba 2, 2018, alikwenda kwenye ubalozi huo kuchukua nakala ili aweze kumuoa mchumba wake wa Kituruki Hatice Cengiz, ambaye alikuwa anamsubiri nje.

Akitoa ushahidi hii leo, Cengiz aliizungumzia siku hiyo ambapo alipokonywa maisha yake ya siku za usoni. Khashoggi alinyongwa hadi kufa na mwili wake ulikatwa vipande vipande.














Comments