Tundu Lisu Tngaza wazi tarehe ya kurudi Tanzania

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema
mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini Tanzania, ambapo atahudhuria
mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu wa Julai 29 na mikutano mingine itakayojitokeza, ambao
utampitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba
2020.
Pia amewaambia watanzania kuwa yupo tayari kurejea nyumbani kwenye baraza kuu la CHADEMA, na kumalizia kusema ameomba ridhaa kwa Rais.
Comments
Post a Comment